Nguvu za kiume ni swala la msingi sana kwa mwanaume yoyote kujisikia na amani endapo atakua yupo karibu na mwanamke au akihitaji kufanya tendo la ndoa. Kushindwa kusimamisha uume mara moja moja sio tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, ingawa ikiwa ni mara kwa mara hapo ni sawa kusema kuna tatizo la nguvu za kiume. Ugonjwa huu huwaga ni ishara ya maradhi mengine ndani kwa ndani ya mwili kama ugonjwa wa kisukari au moyo. Endapo wewe unaona haupo kwenye kundi la magonjwa hayo basi endelea kusoma hapa uelewe zaidi ili uweze kutatua tatizo lako.

Dalili za upungufu wa nguvu za kiume

 • Kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa
 • Kushindwa kusimamisha uume wakati wa tendo
 • Kuwahi kumaliza tendo la ndoa mara moja na kukosa hamu tena kabisa

Sababu za upungufu wa nguvu za kiume

Uume ili usimame unahusisha vitu vingi sana katika mwili. Viti hivi ni kama hisia, akili, misuli na msukumo wa damu. Vitu hivi visipo kaa sawa pamoja na tatizo la msongo wa mawazo huchangia katika kupata tatizo la nguvu za kiume

Vifuatavyo ni visababishi vya tatizo hili

 • Ugonjwa wa moyo
 • Mafuta mengi mwilini
 • Mishipa ya damu kusinyaa
 • Kisukari
 • Unene uliokithiri
 • Umri kuzidi
 • Kiharusi
 • Pombe
 • Sigara
 • Kutolala vizuri
 • Matibabu ya tezi dume
 • Matumizi ya baadhi ya madawa
 • Msongo wa mawazo
 • Matatizo ya kimapenzi mfano kushindwa kuelewana na mpenzi wako au sababu zengine

Dawa ya nguvu za kiume ni kufata masharti haya

Kama wewe huna tatizo la moyo, kisukari au umri kuwa mkubwa sana ikiwa na maana kuanzia miaka 50 kuendelea basi fata maelekezo haya utakua sawa

 • Fanya mazoezi kwa bidii
 • Epuka misongo ya mawazo kwa kujishuhulisha kwa kufanya kazi mbali mbali au kuongea na watu
 • Punguza kunywa pombe na sigara
 • Mwisho kabisa jiamini kama upo sawa na weka hisia zako katika tendo la ndoa

Dawa Asili

Endapo utakua unaona tabu kufata masharti hayo ili kuweza kurudisha nguvu zako za kiume, basi kuna mchanganyiko wa mimea tofauti ambayo husaidia kupata nguvu bila kupitia vitu vyote hapo juu. Kupata dawa hii ya asili bofya link hio chini kwenda kwenye ukurasa wake wenye maelezo

Dawa ya Nguvu za kiume