Ugonjwa wa Gono dalili zake na Dawa yake

Gonorrhea au kisonono ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye bacteria hao. Unaweza pata kisonono pia kwa kugusana na vimiminika vya mtu alie athirika na ugonjwa huu. Gonjwa hili ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaotambulika kwa maambukizi ya kujamiiana na mwenye virusi hivi. Gonjwa hili ni hatari lisipo tibiwa. Mgonjwa…

Ugonjwa wa Tezi Dume dalili zake, visababisho na tiba yake

Tezi Dume ni Ugonjwa ambao unatambulika kama cancer inayotokea katika tezi ya mwanaume. Tezi hii inaumbo kama korosho ndogo ambayo inakazi ya kutengeneza Ute Ute zinazotumika kurutubisha na kusafirisha shahawa. Gonjwa hili ni gonjwa ambalo kawaida huanza taratibu bila dalili zozote na kuja kujulikana baadae sana kama halikutibiwa. Tezi Dume inatabia tofauti kwa wagonjwa wake…

Dawa ya bawasiri ya nje na ndani

Bawasiri ni ugonjwa unaotokea sehemu ya haja kubwa na ndani ya utumbo mkubwa. Bawasiri inatokea kwa kuvimba mishipa sehemu hizo na kusababisha vinyamanyama kuota sehemu ya mkundu na ndani ya utumbo mkubwa. Hivyobasi bawasiri imegawanyika katika aina mbili, Bawasiri ni ugonjwa wa kawaida kwa watu wazima. Watu wengi sana wakishafika umri mkubwa huwa wanapata tatizo…

Dawa ya nguvu za kiume

Nguvu za kiume ni swala la msingi sana kwa mwanaume yoyote kujisikia na amani endapo atakua yupo karibu na mwanamke au akihitaji kufanya tendo la ndoa. Kushindwa kusimamisha uume mara moja moja sio tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, ingawa ikiwa ni mara kwa mara hapo ni sawa kusema kuna tatizo la nguvu za…

Vidonda vya tumbo

Vidonda Vya tumbo ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya utandu wa utumbo na sehemu ya juu ya utumbo mdogo. Dalili yake kubwa ni maumivu ya tumbo Vidonda vya tumbo vipo vya aina mbili Chanzo chake ni nini? Vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwae Helicobacter Pylori (H.Pylori) pamoja na matumizi ya mda mrefu wa dawa…

en_USEnglish