Gonorrhea au kisonono ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye bacteria hao. Unaweza pata kisonono pia kwa kugusana na vimiminika vya mtu alie athirika na ugonjwa huu. Gonjwa hili ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaotambulika kwa maambukizi ya kujamiiana na mwenye virusi hivi. Gonjwa hili ni hatari lisipo tibiwa. Mgonjwa akiugua ugonjwa huu mda mrefu anaweza kupoteza uwezo wa kuzaa au kuzalisha.

Ugonjwa huu una athiri Sehemu gani

Ugonjwa wa gono huathiri hususani njia ya mkojo, haja kubwa, sehemu ya uke ya mwanamke, mdomo, koo au kwenye macho. Ugonjwa huu mbaya usipo tibiwa kwa mama mjamzito humuathiri mtoto anaezaliwa kwenye macho. Asipo kuwa makini mama huyu mtoto anaweza akashindwa kuona tena.

Dalili za Ugonjwa wa Gonorrhea

Ugonjwa huu huonesha dalili zake kuanzia siku ya kwanza hadi thelathini endapo pale mtu atapata. Hii tofauti inatokana na kinga ya mwili wako. Kama mwili wako utakua na kinga hafifu basi siku hio hio utaziona dalili zake. Gonorrhea ina dalili tofauti kidogo kwa wanaume na wanawake.

Dalili za ugonjwa huu kwa mwanaume ni zifuatazo,

  • Kupata maumivu wakati wa kukojoa
  • Kupata hali ya kuhisi kukojoa kila baada ya mda mfupi.
  • Uuume kuvimba sehemu ya mbele na rangi yake kubadilika
  • Pumbu kuvimba
  • Kukojoa usaa
  • Mkundu kuwasha au mda mwengine kutoa damu pindi cha haja kubwa
  • Maumivu wakati wa haja kubwa

Dalili za ugonjwa huu kwa mwanamke

Kwa upande wa mwanamke ni tofauti kidogo na mwanaume. Mwanamke anaweza asihisi dalili zozote zile ambacho anaweza akawa amekaa akifikiri kuwa amepata fangasi wa kawaida. Mwanamke anaweza asipate maumivu makali kama ya mwanaume ila vitu ambavyo vinaweza onekana ni kama hivi vifuatavyo:

  • Maumivu wakati wa kukojoa
  • Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi
  • Maumivu ya kichomi chini ya tumbo
  • Uchafu mwingi kutoka sehemu za uke. Unaweza onekana kama maji maji au usaa ama rangi za kijani
  • Kutoka damu wakati wa haja kubwa na maumivu makali.
  • Hamu ya kukojoa kila baada ya mda mfupi.

Hivyo basi kama wewe umeshahisi unadalili zinazo endana na hizo tajwa hapo juu au sehemu zilizo athirika zinaendana zilizo tajwa hapo juu, basi unacho hitaji wewe ni kwenda hospitali kutibiwa kuanza dozi ambayo imezoeleka ikiwa ni sindano tano kila siku moja kwa mda wa siku tano pamoja dawa zengine za kunywa ambazo atakuandikia daktari.

Iwapo hutakua na bajeti ya kutosha na kama wewe unahitaji kupata matibabu kwa haraka, basi karibu kwetu. Tunayo dawa inayo tokomeza ugonjwa huu kwa mda mfupi sana na kwa bei nafuu.

Kuweza kuipata dawa hii bofya link iliopo hapo chini.

Dawa ya Gono kwa wanaume