Kabla ya kukimbilia hospitali kuingia gharama kubwa za kung’oa jino vitu vyengine ambavyo si vya lazima ufike hospitali ni vizuri kuanza kutumia dawa. Kutokana na tafiti za maabara na wagonjwa wanao sumbuliwa na meno tumeweza pata suluhisho la dawa ya meno.
Dawa hii inatibu yafuatayo
- Husaidia kuondoa maumivu ya jino
- Huondoa harufu ya mdomo
- Huimarisha fizi kushikilia meno vizuri
- Kukata damu inayotoka kwenye fizi na kinywa
- Huondoa fangasi mdomoni na wadudu wanao athiri kinywa
Hii dawa inapaswa kumaliza tatizo lako la kinywa ndani ya siku 7. Endapo utatumia dawa hii na kutoona maendeleo yoyote katika meno yako, basi tembelea vituo vya afya ya kinywa kwa uchunguzi zaidi.