Dawa hii ni ya asili ambayo imetengenezwa kwa miti shamba. Wengi walio tumia wameweza kupata matokeo chanya na kuwasaidia kuweza pata watoto.
Kinachofanyika na dawa hii ni
- kurutubisha mfumo mzima wa uzazi
- kusaidia kufungua milija ya uzazi ilio ziba
- Kusaidia kuzalisha mayai kwa wingi
- Kusaidia kuzalisha mayai yalio komaa