Dawa hii inalenga wale wote wanaokuwa na tatizo la kupata fangasi sehemu ya ukeni. Dawa hii ni nzuri na hutokomeza fangasi wote kuisha sehemu ya ukeni ndani ya mwezi mmoja. 

Husaidia kurudisha rangi ya ngozi yako na kufanya uweze kuvutia tena. Hii dawa inathibitika kutibu wote wale walio wanene, wembamba au wenye tatizo la fangasi mda mrefu. 

Dawa hii hutibu

  • Muwasho ukeni
  • Maumivu wakati wa kukojoa au kufanya mapenzi
  • Uchafu mweupe unaotoka sehemu za ukeni

Dawa hii huleta nafuu ndani ya wiki moja.