Pumu ni ugonjwa unao athiri kifua na mfumo mzima wa kupumua. Katika kufanya tafiti za mitishamba na majaribio kati ya wagonjwa tumeweza kupata dawa hii ambayo inatibu kabisa ugonjwa wa pumu.
Vitu Inavyofanya
- Inatibu pumu
- Inaondoa gesi tumboni
- Inahakikisha mishipa ya kupumua imezibuka
- Inaongeza kinga mwilini
- Inatibu kifua na mengine mengi yanayohusiana na mfumo wa kupumua.