UTI ni neno la kizungu ambalo kirefu chake ni Urinary Track Infection. Hii ikiwa ni maana ya ugonjwa unao athiri njia ya mkojo. Hivyo basi kutokana na tafiti zetu tumepata dawa hii ambayo ukitumia dozi yake inatibu matatizo yote yanayohusiana na mfumo wa mkojo. 

Dozi hii huleta matokeo chanya ndani ya mda wa wiki mbili. Au mwezi mmoja endapo mgonjwa atakua anaumwa UTI sugu kabisa.