Dawa hii inalenga wale wote wenye dalili za Tezi Dume au walio tayari athirika na ugonjwa huu. Dawa hii inafanya kazi kubwa ya kuzuia ukuaji wa Tezi dume na kufanya ipungue irudi katika Hali yake ya kawaida. Hii yote ni kwasababu Ina asili ya kwenda kuondoa zile seli mbaya ambazo zimezaliana katika eneo la Tezi Dume.

Mgonjwa baada ya kutumia dawa hii atapata nafuu kwa kuona matokeo yafuatayo.

  • Kama alikua anakojoa damu basi itaacha.
  • kama alikua anapata maumivu wakati wa kukojoa pia yataanza kwa kupungua na badae yataacha.
  • Kama mkojo ulikua unatoka bila ridhaa Hali hio itakwisha.
  • Kama mgonjwa alikua anashindwa kusimamisha zakari au mpaka ashikwe Tezi Dume basi Hali hio itabadilika na kurudi kuwa kama wengine wa kawaida.
  • Kama afya itakua imezorota kutokana na ugonjwa huu basi mgonjwa atarudi kuwa na afya njema tena.

Matokeo ya dawa hii huanza kuonekana ndani ya wiki moja tu. Ukimaliza dozi hii kwa kawaida wagonjwa wote hupona kabisa ni wachache sana ambao watahitaji wapate dozi nyengine zaidi