Dawa hii ni hususani kwa matatizo ya moyo. Hii dawa huimairisha afya ya moyo na kurudisha katika hali ya kawaida.

Yamfaa mtu gani:

  • Mtu mwenye shinikizo la damu
  • Mtu ambae moyo wake waenda mbio
  • Kuziba kwa mishipa ya damu inayo peleka na kutoa kwenye moyo
  • Kusinyaa kwa mishipa ya moyo.

Dawa hii ni ya awali na husaidia wengi wenye matatizo ya moyo hasa kwenda mbio.Vile vile husaidia kuokoa gharama ambazo utaenda tumia hospitalini. Inashauriwa utumie dawa hii kama matatizo ya moyo ukiona hayapungui muone daktari.