Vidonda vya tumbo ni vidonda vinavyo sababishwa na bakteria aitwae H.pyroli. Bakteria huyu unaweza mpata kwa njia ya vyakula au kumbusu mtu mwenye vidonda vya tumbo. Vidonda hivi vinatesa sana. 

Kutokana na tafiti zilizo fanyika tumeweza kupata dawa ya kutibu vidonda vya tumbo na kuondoa dalili zifuatazo

  • Tumbo kujaa gesi
  • Maumivu sehemu ya juu ya tumbo
  • Kujisikia umeshiba mda wote
  • Kutokua na hamu ya kula vyakula vya mafuta
  • Na vyengine vinavyo husiana na vidonda vya tumbo

Dawa hii ni thabiti kwani kazi yake kubwa ni kuuwa chanzo cha ugonjwa ambacho ni bakteria H. pyroli. Imetibia wengi wenye tatizo la vidonda vya tumbo. Tumia leo utanishukuru kesho